Maelezo ya Matumizi
Fedora Linux 36
Maelezo ya toleo la hivi karibuni, Fedora Linux 36.
Fedora Linux 35
Maelezo ya toleo la Fedora Linux 35.
Maelezo Kwa Kifupi
Mielekezo na mafunzo ya matumizi na mipangilio ya Fedora Linux.
Fedora Server
Je, unatumia Fedora Linux kwenye seva? Sehemu hii itakufaa.
Fedora kwa Mtandao wa Vifaa (IoT)
Msingi thabiti wa miradi ya IoT nyumbani, viwandani au hata katika miji dijitali. Pia, uchanganuzi kutumia AI/ML.
Fedora Silverblue
Mfumo wa Fedora Workstation usiobadilika na ulio bora kwa kutekeleza kazi kutumia kontena.
Fedora CoreOS
Fedora CoreOS ni mfumo wa uendeshaji mdogo, ulioundwa hasa kwa matumizi ya kontena kwenye vikundi vya seva. Lakini pia u kamili, na huweza kujitegemea.
Vifurushi vya Ziada vya Linux ya Kibiashara
Maelezo ya mradi wa Extra Packages for Enterprise Linux (EPEL).
Fedora Kinoite
Mfumo wa Fedora usiobadilika na utumiao KDE Plasma, ulioundwa kwa uendeshaji kutumia kontena.
Jamii na mradi wa Fedora
Mradi wa Fedora
Jifunze jinsi mradi wa Fedora ufanyavyo kazi.
Baraza la Fedora
Jifunze jinsi mradi wa Fedora unavyoongozwa.
Timu za uhandisi
Jifunze kuhusu kamati inayoongaza uhandisi (FESCo) na miradi midogo mbalimbali ya uhandisi.
Timu za Ukuzaji wa Wahusika
Jifunze kuhusu timu na miradi iliyopo ya kukuza wachangiaji na watumizi.
Ujumuishaji wa Jamii Tofauti
Lengo la mradi huu ni kukuza umoja katika jamii ya Fedora.
Usimamizi wa Miradi
Kupanga, kuratibu na kufuatilia matoleo.
Mwelekezo wa Vifurushi vya Fedora
Jifunze kuhusu jinsi ya kuchapisha vifurushi vya Fedora — kwa mtazamo wa kisera na wa kifundi.
Maelezo ya Uhamasishaji wa Fedora
Outreachy ni mpango wa uanafunzi kwa watokao katika jamii zilizo haba katika sekta ya programu bure na wazi.
Ushirikiano wa Fedora katika Mradi wa Google
Habari kuhusu mikutano ya Google (GSoC, GCI na GSoD).