Timu ya Maelezo ya Fedora

Nembo ya Timu ya Maelezo ya Fedora, ikiwa na Alama ya Biashara ya Fedora; zikionyeshwa kwenye picha ya kurasa za kitabu.

Timu ya Maelezo ya Fedora ina jukumu la kusimamia, kutunza na kuchapisha maelezo yanayopatikana katika docs.fedoraproject.org.

Tunayotenda

  • kusimamia na kutunza ukurasa wa kutua wa maelezo

  • maintain the Fedora Docs Website

  • kuhifadhi maelezo ya matoleo

  • kutunza mifumo inayoandaa maelezo

  • kutunza na kusahihisha maelezo ya jumla

  • kupanga na kukusanya Maelezo Kwa Kifupi

Kutuhusu

Timu ya maelezo ni kundi wenza lenye wahusika wengi wanaoshirikiana kwa njia mbalimbali. Cha muhimu zaidi: Sio lazima uwe "mhusika rasmi" ili kushiriki. Yeyote anaweza kuchangia! Kwa kweli, unapoadika au kusahihisha maelezo; wewe ni mwenzetu.

Na hata zaidi, hauhitaji ujuzi maalum ili kuchangia. Kuna mbinu nyingi mbalimbali za kuchangia kwa njia inayojenga.Zingine ni rahisi sana, na utahitaji hatua hizi 7 tu.

If you are interested in creating and shaping valuable information or would like to share your own knowledge and experience, don’t hesitate to join us. And don’t be afraid that you will have to make a long-term commitment at the same time. We know many different ways and intensities of contributing. See the team charter for information on how we are organized.

Baraza

Baraza lina jukumu la kuratibu na kupanga kazi ya timu ya maelezo. Wahusika wa sasa ni

darknao

mchangiaji wa kiufundi

pbokoc

mhariri wa maelezo ya matoleo, na mchangiaji wa jumla

pboy

mwandishi na mhariri

Kwa sasa, sisi ni timu ndogo lakini tunatimiza mengi. Hatungependa kubaki timu ndogo milele. Ikiwa una nia ya kuandaa habari zenye thamani, na uko tayari kujitolea kwa ukawaida, tafadhali jiunge nasi.

Miradi inayoendelea sasa

Kuhamishwa kwa hifadhi ya maelezo

Tuko katika harakati ya kuhamisha maelezo yote kutoka kwa hifadhi ya pagure, na kuipeleka kwa gitlab; ili kutuwezesha kutumia sifa zake za hali ya juu. Kiongozi: darknao

Kuboresha kwa jumla utunzaji wa maelezo ya Fedora

Ushirikiano wa timu kwa muda mrefu zaidi ili kurekebisha maelezo kulingana na muundo wa sasa wa toleo la Fedora, na vilevile kuyasahihisha maelezo. Kiongozi: pboy

Some most recently finished efforts

  • Implement a long missing search function across all docs

  • Exclude old docs from search enignes

  • Streamline previous release note

Projects in the pipeline waiting to be taken up

Improving the contributors guide

We need a more detailed description of all the options available to contribute. And we may need a more extensive description of the “Pull Request” workflow to get new or modified content into our repos.

Developing a style guide

Currently, there is no style guide resulting in an inconsistent typography and unpleasant presentation of our docs.

Curation of the Quick Docs collection

The articles in the Quick Docs section need some care and updating.

Exploring possible synergy effects of a cooperation between CentOS and Fedora documentation

Both distribution share a lot of code and a large number of almost identical administrative routines. It should be possible to achieve improvements for both documentation projects by joint work and coordinating efforts.

Where to find Fedora docs team

Please, contact us at any of our communication channels

Fedora discussion forum

https://discussion.fedoraproject.org/tag/docs

IRC channel

#fedora-docs on Libera IRC

Matrix room

#docs:fedora.im

Weekly IRC meeting

Each Wednesday, 18:30 UTC at #fedora-meeting-1

Have a look on our working infrastructure

We track work in GitLab.

If you managed to read this far

Please, contact us using one of the above channels. You are highly ‘suspect’ to become a very helpful and respected member of our team. Don’t hesitate.